Breaking News

Your Ad Spot

Feb 11, 2016

TAFRANI YAZUKA KIVUKO CHA MV KIGAMBONI MAPEMA LEO JIJINI DAE ES SALAAM

 Baadhi ya abiria waliokuwa wamepanda kivuko cha Mv  Kigamboni wakiwa wamekumbwa na butwaa kufuatia kivuko hicho walichokuwa wamepanda kukatika sehemu ya kushukia abiria na Magari na kupelekea hofu kubwa miongoni mwao,kama uonavyo pichani baadhi ya abiria hao wakijaribu kujinusuru na hali hiyo,kwani kivuko hicho kilikuwa kimesheheni abiria lukuki
 Abiria wakipewa maelekezo namna ya kushuka kwenye kivuko hicho.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages