Naibu
waziri wa fedha na uchumi, Dkt. Ashatu
Kijaji, akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka wa 25 wa wanachama
na wadau wa PPF, kwenye ukumbi wa kituo cha mikutano cha kimataifa cha Julius
Nyerere jijini Dar es Salaam, Februari 11, 2016. Mkutano huo wa siku mbili
unakwenda kwa kauli mbiu ya “Uendelezaji wa sekta ya hifadhi ya jamii; umuhimu
wa kuzingatia mabadiliko”. (Picha na K-VIS MEDIA/Khalfan Said)
Washiriki
wa mkutano wakifuatilia hotuba ya Mkurugenzi Mkuu wa PPF , Wiliam Erio kwenye
ukumbi wa kituo cha mikutano cha kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es
Salaam, Februari 11, 2016
Mwenyekiti
wa bodi ya wakurugenzi ya Mfuko wa Pensheni wa PPF, Ramadhan Khijah, akitoa
hotuba yake
Mkurugenzi
Mkuu wa PPF, William Erio akitoa taarifa na mrejesho wa mkutano mkuu wa 24 wa
wanachama na wadau
Wajumbe
wakisoma majarida yenye maelezo ya kina ya Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakati wa
mkutano wa mwaka wa 25 wa wanachama na wadau
ulioanza Februari 11, 2016 kwenye ukumbi wa kituo cha mikutano cha
kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam
Shuhuda Angella Mgullu, akitoa ushuhuda kutokana na faida mbalimbali anazopata kwa kuwa mwanachama wa PPF
Mwendesha Bodaboda, Lazaro Mussa, naye ni miongoni mwa mashuhuda walioueleza mkutano huo manufaa ya kuwa mwanachama wa PPF
Dkt. Kijaji akitoa hotuba
Washiriki wa mkutano wakifuatilia kilichokuwa kikiendelea
Washiriki wakitazama kalenda ya PPF ya mwaka 2016
Mzee Baraza, mjumbe wa bodi ya wadhamini ya PPF, akinakili mambo muhimu
Mkurugenzi wa fedha wa PPF, Martin Mmari, (Kushoto), akizungumza jambo na moja wa waalikwa kwenye mkutano huo
Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa PPF, Bw. Mataka
Baadhi ya wajumbe wa bodi ya wadhamini ya PPF
Wajumbe wa bodi ya wadhamini ya PPF
Wakurugenzi wakibadilishana mawazo
Bw. Mbarouk, (kushoto) na Lulu Mengele, wakifuatilia hotuba
Afisa Uhusiano Jannet Ezekiel, akizunhumza na mmoja wa wanachama wa PPF |
Wajumbe wakiwa kwenye ukumbi wa kituo cha mikutano cha kimataifa cha Julius Nyerere
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269