Breaking News

Your Ad Spot

Feb 6, 2016

MGANGA MKUU MSAIDIZI WA MANISPAA YA ILALA WILLY SANGU AFURAHISHWA NA KITUO HICHO CHA KISASA KUFUNGULIWA



 Mganga Mkuu Msaidizi wa Manispaa ya Ilala, Willy Sangu akizungumza jambo na wafanyakazi wa kituo hicho na wadau waliofika katika uzinduzi huo wa kituo kipya cha kisasa kinachotoa huduma mbalimbali za Upasuaji na NK  (PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA)






wananchi waliofika katika uzinduzi huo

  Mganga Mkuu Msaidizi wa Manispaa ya Ilala, Willy Sangu (wapili kulia) akiangalia Daftari la mahudhurio na kuona namba kubwa ya wagonjwa inayoongezeka kwa wanawake ni ya watu wenye magojwa ya UTI, kushoto ni Mkurugenzi wa Kituo cha JPM



  Mganga Mkuu Msaidizi wa Manispaa ya Ilala, Willy Sangu akimpa pole mgojwa Umrat Haroub aliyetoka magomeni kufata huduma katika kituo hicho kilichopo Kimanga Tabata Jijini Dar es Salaam


sehemu ya wadau waliofika katika uzinduzi huo


 Mganga Mkuu Msaidizi wa Manispaa ya Ilala, Willy Sangu (wa pili kushoto) akikata utepe katika uzinduzi wa Kituo cha Jerome Peter Mkiramweni (JPM), kilichopo Tabata Kimanga Dar es Salaam . wakwanza kushoto ni Mganga Mkuu wa Upasuaji wa kituo hicho Dtk. Amiri Ally Binzoo na watatu kulia ni Mkurugenzi wa kituo hicho cha JPM, Dkt, Jerome Mkimwani . 

 Picha ya wafanyakazi wa kituo cha kisasa na mgeni rasmi ambaye ni  Mganga Mkuu Msaidizi wa Manispaa ya Ilala, Willy Sangu (wa nne kulia)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages