Breaking News

Your Ad Spot

Feb 12, 2016

MCHEKESHAJI WA ORIGINO COMEDY, MPOKI AJIUNGA NA TIMU YA EFM RADIO.

Mchekeshaji maarufu wa Orijino Comedy Silvester Mjuni alimaarufu kama MPOKI,  amejiunga na team ya EFM Radio na kuwa mmoja wa watangazaji wa kipindi cha UBAONI kinachoongozwa na Gardner G. Habash kwa kushirikiana na bikira wa kisukuma (Seth) kinacho kuwa hewani kila siku kuanzia saa 9:00 alasiri hadi saa 1:00 jioni. Kushoto ni Mkurugenzi wa Efm Radio Francis Ciza akimkaribisha, Mpoki kuungana na team ya EFM Radio.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages