Breaking News

Your Ad Spot

Feb 10, 2016

LOWASSA AMJULIA HALI SHEIKH MKUU WA TANZANIA, MUFTI ZUBERY PALE JKHI, MUHIMBILI

 ALIYEKUWA mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, amejulia hali Sheikh Mkuu wa Tanzania, Muft Aboubakary Zubery ambaye anapatiwa matibabu kwenye Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete ya Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam. Lowassa, alipokelewa na Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa Salum na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo wa Hospitali hiyo, Dkt.Tulizo Shem Sanga

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages