Breaking News

Your Ad Spot

Feb 8, 2016

KAMANDA WA VIJANA UVCCM AKIZUNGUMZA NA WAFUASI BAADA YA KUAHIRISHWA SHAURI LAKE KATIKA MAHAKAMA KUU YA DAR ES SALAAM

 Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es es Salaam (UVCCM), Abbas Mtemvu akisalimiana na Mmoja wa wafuasi walio fika Mahakamani (PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA)
 Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es es Salaam (UVCCM), Abbas  Mtemvu (kulia)  alipokuwa na wafuasi wakishuka ngazi mara baada ya Mahakama Kuu ya Dar es Salaam kuahirisha Shauri hilo la kupinga matokeo ya uchaguzi wa Jimbo la Temeke hadi 26 Februari mwaka huu,  ambapo  Maulidi Mtolea (CUF) alishinda. 


Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es es Salaam (UVCCM), Abbas Mtemvu (wa pili kulia) akizungumza jambo na wafuasi  wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mahakama Kuu Dr es Salaam , baada ya kuahirishwa shauri lake la kupinga matokeo ya uchaguzi wa Jimbo la Temeke ambao  Maulidi Mtolea (CUF) alishinda.
 Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es es Salaam (UVCCM), Abbas Mtemvu (kulia) alisalimiana na aliyekuwa Diwani wa Kata ya Azimio, Hamisi Mzuzuri mara baada ya kuahirishwa shauri hilo hadi 26 Februari mwaka huu

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages