Breaking News

Your Ad Spot

Feb 12, 2016

DUDUBAYA AZIDI KUMKOMALIA SHETTA


Yatosha

SHETAIle vita ya wasanii kugombania majina ya wanyama imezidi kumake headline kila kukicha na kuzua gumzo kwenye mitandao ya kijamii  huku  wakiwaacha mashabiki na maswali kichwani ya nani mmiliki halali wa majina hayo?mama15-marquee-diamond-800x451

Vita hiyo ya majina ya wanyama ilianzia kwa msanii Mr Blue akimtuhumu Diamond kutumia jina la Simba japo hakumtaja wazi wazi ila post yake ilijieleza, hivi karibuni imeibuka vita nyingine kati ya msanii Dudubaya ambaye anamtuhumu msanii Shetta kutumia jina lake la Mamba na kumtaka aache mara moja kabla hajamfanyia kitu kibaya,mr blue

Mtembezi.com inakuletea sababu ambazo msanii Dudubaya amezitoa kupinga msanii Shetta kutumia jina lake la Mamba kama ifuatavyo.DUDUBAYA1.Hili jina ni lake pekee na ukimya wake kwenye Game siyo sababu ya mtu kuchukua jina lake na ametoa mfano kuwa wasanii kama Jarule na DMX hawasikiki tena lakini haiwezekani mtu kuja kujiita Jarule au DMX.

2.Jina hilo la Mamba huwa analitumi kibiashara pale akifungua biashara yake yeyote mfano Bar, Saloon n.k huwa anatumia jina hilo kwahiyo tayari ni brand yake ambayo mwingine hafai kuitumia.

3.Muonekano wa Shetta haufanani kabisa na jina hill na kamwe hawezi kuwa mamba,labda ajiite Kenge.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages