Breaking News

Your Ad Spot

Feb 10, 2016

BREAKING NEWS, KONTENA LAANGUKIA DALADALA LAUA


KONTENA limeangukia daladalapale Tabata-Sheli jijini Dar es Salaam leo majira ya mchana Februari 10, 2016.
Kwa mujibu wa mashuhuda watukadhaa wanahofiwa kupoteza maisha kwenyeajali hiyo. Taarifa kamili baadaye

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages