Breaking News

Your Ad Spot

Feb 11, 2016

BASI LA SIMBA MTOTO LAGONGANA NA LORI WILAYANI KOROGWE MKOANI TANGA

Ajali mbaya ya barabarani imetokea mkoani Tanga asubuhi hii wakati Basi la Kampuni ya Simba Mtoto ya Tanga lilipogongana na Lori uso kwa uso katika eneo la Pangamlima Wilayani Korogwe mkoani humo,taarifa za awali kutoka eneo la tukieo zinaeleza kuwa watu 10 wanahofiwa kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa vibaya atika ajali hiyo.
Globu ya Jamii bado inaendelea kufuatilia tukio hilo kwa ukaribu ili kupata idadi kamili ya waliopoteza maisha.Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi-AMIN

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages