Wafanyakazi wa Kampuni ya Shirika la Reli nchini Tanzania (TRL), wakiwafikishwa
katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Dalaam tayari kwa kusomewa mashitaka 9
yanayo wakabili likiwemo la tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka. (PICHA ZOTE NA KHAMIS MUSSA)
Baadhi
wa wafanyakazi wa Kampuni ya Reli nchini Tanzania (TRL), wakiwa katika
chumba cha mahakama ya Kisutu tayari kwa kusomewa mashitaka 9 yanayo
wakabili likiwemo la tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka, wapili
kulia ni aliyekuwa Mkurugenzi wa shirika hilo, Mhandisi Kapallo Kisamfu
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269