Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (katikati), akifafanua jambo baada ya kutembelea
hospitali hiyo Dar es Salaam, katika ziara ya siku moja ya kukagua
huduma mbalimbali zinazotolewa kwenye hospitali hiyo pamoja na vifaa
tiba, ambapo alitoa siku tatu kukamilika kwa matengenezo ya mashine ya
ultrasound. kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Donan
Mmbando na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kulia), akifafanua jambo baada ya kutembelea
hospitali hiyo Dar es Salaam, katika ziara ya siku moja ya kukagua
huduma mbalimbali zinazotolewa kwenye hospitali hiyo pamoja na vifaa
tiba, ambapo alitoa siku tatu kukamilika kwa matengenezo ya mashine ya
ultrasound. katikati ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Donan
Mmbando na Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dk, Othman Kiloloma
Wanahabari kila mmoja na engo yake kuhakikisha kila mmoja anaondoka na kichwa cha habari
Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Profesa
Lawrence Museru (kulia) akiweka kumbukumbu zake vizuri wakati Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa pilikulia), kutembelea
hospitali hiyo Dar es Salaam, katika ziara ya siku moja ya kukagua
huduma mbalimbali zinazotolewa kwenye hospitali hiyo pamoja na vifaa
tiba, ambapo alitoa siku tatu kukamilika kwa matengenezo ya mashine ya
ultrasound. watatu kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Donan
Mmbando na wanne kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dk, Othman Kiloloma
Mkurugenzi wa MSD Laurean Bwanakuru (kulia) akimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, mara ya baada ya kutembelea
hospitali ya Taifa ya Muhimbili na Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu
(MOI) Dar es Salaam, katika ziara ya siku moja ya kukagua
huduma mbalimbali zinazotolewa kwenye hospitali hiyo pamoja na Taasisi
ya Mifupa, wapili kulia ni Profesa Muhammad Bakari, anaye fatia kushoto
ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru na anaye fatia kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue
Mtaalamu
wa kutengeneza mashine za kutoa huduma za vipimo katika Hospitali ya
Taifa ya Muhimbili wa Kampuni ya Philips, Kevin Omollo (kushoto) akitoa
maelezo kwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, baada ya
kutembelea hospitali hiyo Dar es Salaam, katika ziara ya siku moja ya
kukagua huduma mbalimbali zinazotolewa kwenye hospitali hiyo pamoja na
vifaa tiba, ambapo alitoa siku tatu kukamilika kwa matengenezo ya
mashine ya ultrasound. Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa
Jamii Donan Mmbando.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269