Breaking News

Your Ad Spot

Nov 20, 2015

RAIS MAGUFULI AMUAPISHA WAZIRI MKUU MAJALIWA MJINI DODOMA LEO

 RAIS Dk. John Magufuli akimwapisha  Majaliwa Kassim Majaliwa  kuwa Waziri Mkuu  kwenye Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma
 RAIS Dk.  John Magufuli na Makamu wake, Mama Samia Suluhu Hassan, wakiwa pamoja na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim, baada ya kumwapisha, Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma.
 Rais Dk. John Magufuli akiwa na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, baada ya kumwapisha jana, Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma. kulia ni Mama Mary Majaliwa.
 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akipongezwa na Mbunge wa Kyela, Dk. Harrison  Mwakyembe baada ya kuapishwa kwenye Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma
 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akipongezwa na baadhi ya waalikwa  waliohudhuria sherehe za kuapishwa kwake kwenye Ikulu ndogo ya Chamwino jijini Dodoma.

 Wasanii wa Kikundi cha Ngoma cha Mchoyi cha mjini Dodoma wakicheza ngoma ya Kigogo  katika sherehe za kumwapisha Waziri Mkuu, Majaliwa kassim Majaliwa  kwenye ikulu ndogo ya  Chamwino  mjini Dodoma.
  Waziri Mkuu, Majliwa Kassim Majaliwa akiopongezwa na Mkewe  Mary baada ya kuapishwa  kwenye ikulu ya Chamwino mjini Dodoma
 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa akipongezwa na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa  Lindi, Sheikh Mtopa baada ya kuapishwa kwenye ikulu ndogo ya Chamwino jijini Dar es Salaam
 Waziri Majaliwa Kassim Majaliwa, akisalimiana na watumishi wa Ofisi yake baada ya kuwasili  kwenye Makazi yake mjini Dodoma
 Baadhi ya waalikwa wakiwa kwenye sherehe hiyo ya kuapishwa Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa.
 Makamu wa Rais , Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Idd.
 Makamu wa Rais Mama Samaia Suluhu Hassa, akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaafu, Dk. Mohammed Gharib Bilal, wakati wa sherehe ya kuapishwa Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, Ikulu Ndogo ya Chamwino mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages