Rais Magufuli akisalimiana na wabunge muda
mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma
Jumamosi Novemba 20, 2015
Rais Magufuli akisalimiana na Spika Mstaafu Pius Msekwa huku Spika Mstaafu mwingine, Anne Makinda akisubiri
zamu yake muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma
Rais Magufuli akisalimiana na mmoja wa
wabunge muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua Bunge la 11
mjini Dodoma
Rais Magufuli (wa pili kushoto) akiwa
katika picha ya pamoja na Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Dkt Kikwete na Benjamin Mkapa muda mfupi baada
ya kuhutubia na kuzindua Bunge la 11 mjini Dodoma
Rais Magufuli katika picha ya pamoja na
viongozi wakuu na wabunge muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua Bunge la 11 mjini Dodoma
Rais Dkt. Magufuli akisikiliza kwa unyenyekevu
mawaidha toka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi
muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma
Rais Dkt. Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar Dkt
Ali Mohamed Shein, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan
Mwinyi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Spika
wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Pandu Ameir Kificho muda mfupi
baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma
Rais Dkt. Magufuli na Waziri Mkuu Majaliwa
Kassim Majaliwa wakijichanganya na wabunge
baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma
Rais
Dkt. Magufuli na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne
Dkt. Kikwete na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe
muda mfupi baada ya kuhutubia wakisalimiana na kuteta jamb
Rais Dkt. Magufuli akiongea na wabunge na wageni
waalikwa kwenye mchapalo muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua
rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015. Ni hapo
alipoamuru kwamba zaidi ya shilingi milioni 200 zilizochangwa na
wafadhili kwa ajili ya mchapalo huo zitumike kwa kununulia vitanda vya
wagonja katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimshukuru Spika Job Ndugai
wakati anaondoka baada ya kuhutubia Bunge la 11
Rais Dkt. Magufuli akimshukuru na kumkabidhi cheti
Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw.Adam Mayingu kwa mchango wao kwenye
mchapalo muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua Bunge la 11
mjini Dodoma
Rais Dkt. Magufuli akimshukuru na kumkabidhi cheti
mwakilishi wa Benki kwa mchango wao kwenye mchapalo muda mfupi baada
ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma
Rai Dkt. Magufuli akipozi na badhi ya mabalozi
wa nchi za Kiafrika waliokaribishwa kwenye hafla ya kuhutubia na
kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma
Picha na Muhidin Issa Michuzi wa Ikulu
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269