Breaking News

Your Ad Spot

Nov 15, 2015

MWENYEKITI WA CCM TAIFA AWASILI DODOMA TAYARI KUONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU

Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dk.  Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye uwanja wa Ndege wa muda mfupi kabla ya kuelekea Dodoma tayari kwa kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu.
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dk.  Kikweteakisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma Alhaji Adam Kimbisa mara baada ya kuwasili mkoani Dodoma tayari kwa kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM.
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dk.  Kikwete akisalimiana na viongozi mbali mbali wa CCM mkoa wa Dodoma waliojitokeza kumpokea, Mwenye kiti wa CCM ataongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kitakachojadili majina ya wana-CCM walioomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Uspika na Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages