Anaitwa
Yusuph Kisiba a.k.a Yuskiss Kisiba ambae ni Blogger @Lake Zone Media
& Kisibasharesky Media, Graphics Desiner & Video
Editor @Shafineys Film Production Jijini Mwanza.
Na:George Binagi-GB Pazzo wa Binagi Media Group
Tarehe
kama ya leo (Nevemba 19) miaka kadhaa iliyopita alizaliwa hivyo hii leo
anafurahia siku yake ya kuzaliwa na ndugu, jamaa na Marafiki. Nasi
tunamtakia maisha mema katika kuzaliwa kwake.
"Novemba
19 ni tarehe ambayo Mwenyezi Mungu aliweza kuniruhusu kutoka katika
tumbo la mama yangu kipenzi na kuuona ulimwengu huu. Na hapo ndipo
safari yangu ilipoanzia na ikawa ndiyo chanzo cha kufahamiana na wewe
hivi sasa. Novemba 19 ni siku ambayo huwa ya kipekee sana kwangu katika
huzuni na furaha kutokana na kuishi mazingira haya ya ulimwengu uliojaa
kila aina ya uzuri na ubaya wake.Ukiwa kama ndugu/rafiki yangu sina budi
kukukumbusha kuungana nami kufanya ibada ikiwa na lengo moja la
kumuomba Mungu atusamehe makosa yetu. Kwa yeyote niliewahi kumkosea
sina budi kukuomba radhi katika siku hii". Anasema Kisiba.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269