Breaking News

Your Ad Spot

Nov 20, 2015

MUDA MWINGI WA KAZI UNAPOTEA KWENYE MSONGAMANO WA MAGARI

Fikiri kama kila siku unapoteza dakika 12 kwenye msongamano, kwa siku tano za kazi ni dakika 60, saa nzima. Na katika saa 48 za kazi kwa mwezi mzima itabidi uondoe saa 4 nzima. Hivyo, zinabaki saa 44 za kazi kwa mwezi. Halafu bado tunapata tabu kuelewa kwanini nchi yetu bado ni masikini sana

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages