Breaking News

Your Ad Spot

Nov 21, 2015

MTEMVU AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI DAR ES SALAAM

 Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam  (pichani hawapo) mambo mbalimbali ya mchakato wa uchaguzi wa Madiwani, Ubunge na urais wa 2015, na likiwemo na kufungua kesi mahakamani juzi dhidi ya mbunge wa sasa wa Temeke
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam  (pichani hawapo) mambo mbalimbali ya mchakato wa uchaguzi wa Madiwani, Ubunge na urais wa 2015, na likiwemo na kufungua kesi mahakamani juzi dhidi ya mbunge wa sasa wa Temeke, kushoto ni Katibu wa Jimbo la Temeke Kassim Kiame na kulia ni Mwenyekiti wa Jimbo la Temeke Ahmad Mnamala (PICHA NA KHAMISI MUSSA)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages