Breaking News

Your Ad Spot

Aug 5, 2015

TBL YAANZISHA PROGRAMU YA MAFUNZO YA KUENDELEZA WAUZAJI WADOGO WADOGO WA VINYWAJI VYA TBL


 Meneja Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Emma Oriyo  (katikati) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam , kuhusu maandalizi ya uzinduzi Programu ya mafunzo ya kuendeleza wauzaji wadogo wadogo wa vinywaji vya TBL nchini. Kushoto ni Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Dar es Salaam, Abel Swai 

Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Dar es Salaam, Abel Swai (kushoto) akizungumza 
katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam, kuhusu maandalizi ya uzinduzi Programu ya 
mafunzo ya kuendeleza wauzaji wadogo wadogo wa vinywaji vya TBL nchini. Kulia ni  Meneja wa Mambo 
ya Nje na Uhusiano wa TBL,Emma Oriyo 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages