Breaking News

Your Ad Spot

Aug 7, 2015

TANGAZO LA NAFASI YA KAZI

Kampuniya NOFO ya jijini Dar es Salaam, inayojihusisha na uchapishaji na uuzaji wa vitabu vya hadithi za watoto, inatangaza nafasi kumi (10), za kazi ya afisa masoko.

Wenye sifa zifuatazo watume maombi kupitia baruapepe ndejarini@gmail.com kwenda kwa GENERAL MANAGER, NOFO, DSM 

(1) Shahadaya kwanza au stashahada ya juu ya biashara katika masoko
(2)    Uelewamzurinauelediwakuimarishanakupanuawigowamasoko
(3)    Ari namoyowakufikiamalengouliyowekewa
(4)    Uwezowakujielezavizurimbeleyawatuwengi

Mwisho wa kupokelewa kwa maombi ni Alhamisi saa nane mchana tarehe 13 Agosti 2015. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0767-195912/0713195912.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages