Breaking News

Your Ad Spot

Aug 27, 2015

RAIS WA ZANZIBAR DK. ALI MOHAMED SHEIN -AZINDUA KIWANJA CHA BASKETBALL WETE PEMBA

4
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake katika sherehe za uzinduzi wa Kiwanja cha Basketball cha Polisi Mess Wete,kabla ya kugawa vifaa mbali mbali vya michezo kwa Timu za Wilaya hiyo kwa michezo mbali mbali jana akiwa katika ziara Mkoa wa Kaskazini Pemba.
[Picha na Ikulu.]
3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akirusha mabofu kama ishara ya uzinduzi wa Kiwanja cha Basketball cha Polisi Mess Wete,ambapo pia aligawa vifaa mbali mbali vya michezo kwa Timu za Wilaya hiyo kwa michezo mbali mbali jana akiwa katika ziara Mkoa wa Kaskazini Pemba,
5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi vifaa vya mchezo wa Karati khalfan  Suleiman wa Wete  katika sherehe za uzinduzi wa Kiwanja cha Basketball cha Polisi Mess na ugawaji wa vifaa kwa Timu mbali mbali za Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba jana akiwa katika ziara ya kikazi,
6
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi vifaa vya mchezo wa Bad minton Ali Mwinyi Faki katika sherehe za uzinduzi wa Kiwanja cha Basket ball cha Polisi Mess na ugawaji wa vifaa kwa Timu mbali mbali za Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba jana akiwa katika ziara ya kikazi.
1
Baadhi ya Wanamichezo wa Michezo mbalimbali katika Wilaya ya Wete   wakiwa katika sherehe za Ufunguzi wa Kiwanja cha Baskatball na ugawaji wa Vifaa mbali mbali vya Michezo katika Nyumba za  Polisi Mess Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba jana,
2 
   Baadhi ya Wanamichezo wa Michezo mbalimbali katika Wilaya ya Wete   wakiwa katika sherehe za Ufunguzi wa Kiwanja cha Baskatball na ugawaji wa Vifaa mbali mbali vya Michezo katika Nyumba za  Polisi Mess Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba jana.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages