Breaking News

Your Ad Spot

Aug 9, 2015

RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA MRADI WA MAJI LINDI, AWAZAWADIA TWASHINDI NANENANE, AGOSTI 8 2015


1
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mwakilishi wa shirika la misaada la Ujerumani KFW Bi.Katrin Brandes na mkuu wa mkoa wa Lindi Bibi Mwantum Mahiza wakifunua kitambaa kuzindua ujenzi wa mradi wa maji wa mji wa Lindi eneo la Ng’apa mjini Lindi.Agosti 8 ,2015 .
4
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi Benki ya Maendeleo ya kilimo huko eneo la Ngongo yalikofanyika maadhimisho ya sikukuu ya wakulima kitaifa Nanenane.Agosti 8 ,2015 .
  3
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja  Jenerali  Raphael Muhuga kombe la ushindi baada ya taasisi anayoiongoza kuibuka mshindi wa taasisi iliyofanya vyema kuliko zote (Overall Best Exhibitor) wakati maonyesho ya sikukuu ya wakulima nanenane yaliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Ngongo mjini lind.Agosti 8 ,2015 .
2
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi waliojitokeza katika maadhimisho ya sikukuu ya wakulima nanenane yaliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Ngongo mjini Lindi leo.Rais Kikwete alitumia fursa hiyo kuagana na wananchi wa mkoa wa Lindi.Agosti 8 ,2015 .
(Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages