Breaking News

Your Ad Spot

Aug 30, 2015

RAIS KIKWETE AHUDHURIA JUBILEI ZA WATAWA LUGOBA

unnamed 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Sista.Perpetua (kushoto) aliyekuwa anaadhimisha miaka 50 ya utawa na Sista Ponsiana (kulia) aliyekuwa anaadhimisha miaka 25 ya utawa .Maadhimisho hayo yalifanyika katika kanisa Katoliki Lugoba jana.
(Picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages