Breaking News

Your Ad Spot

Aug 27, 2015

RAIS AAGANA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI, MABALOZI WA TANZANIA UHOLANZI NA ZIMBABWE NA KUONANA NA MKURUGENZI MKUU WA BENKI YA NMB IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

1
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadaye kuongea na Balozi wa Uturuki nchini anayemaliza muda wake Mhe Ali Davutoglu aliyefika kumuaga Ikulu jijini Dar es salaam
2 3
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Balozi mpya wa Tanzania nchini Uholanzi Mhe. Irene Florence  Mwawa Kasyanju na Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala walipofika kumuaga Ikulu jijini Dar es salaam
4 5
Rais Jakaya Mrisho kikwete akioneshwa na Mkurugenzi Mkuu wa Microfinance Bank Plc (NMB)  Bi Ineke Bussemaker kadi ya MASTERCARD 
ambayo ni huduma mpya ya kisasa iliyoingizwa nchini na benki ya NMB wakati kiongozi huyo wa benki hiyo alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam

6
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mkurugenzi Mkuu wa Microfinance Bank Plc (NMB)  Bi Ineke Bussemaker kadi ya MASTERCARD 
ambayo ni huduma mpya ya kisasa iliyoingizwa nchini na benki ya NMB wakati kiongozi huyo wa benki hiyo alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam

7
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mkurugenzi Mkuu wa Microfinance Bank Plc (NMB)  Bi Ineke Bussemaker kadi ya MASTERCARD ambayo ni huduma mpya ya kisasa iliyoingizwa nchini na benki ya NMB wakati kiongozi huyo wa benki hiyo alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages