Breaking News

Your Ad Spot

Aug 3, 2015

MMILIKI WA UJIJIRAHAA BLOG ZIARANI BAADHI YA MIKOA NCHINI TANZANIA

 Nikipita Dodoma kuelekea Manispaa ya Tabora, (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Nikiwa mpakani mwa Tabora Manispaa na Wilaya ya Uyui
 Wanafunzi wa  Shule ya  Msingi Mtakuja Kijijicha Lusangi wakiwa katika muonekano huu
 Mmoja wa wanafunzi akinunua kitumbua kwa mwanafunzi mwenzake aliyekuwa akiuza shuleni hapo  baada ya kupewa pesa na Mmiliki wa ujijirahaa blog na kuwanunulia wote kama walivyo naswa na kamera.
 Mmoja wa wanafunzi akinunua kitumbua kwa mwanafunzi mwenzake

Wanafunzi hao  kwa pamoja wakishukuru Mmiliki wa ujijirahaa blog

Wanafunzi hao ni wamadarasa tofauti, kuanzia kati ya  5,6,4 na 3 wakiwa wanakwenda majumbani kupata chakula cha mchana na wanatakiwa kurudi tena shuleni hapo, ambapo saa 6 mchana hutoka kwenda majumbani na wanarudi mashuleni saa 7, mchana na saa 9 hutoka shuleni na kwenda majumbani
Taswila ya muonekano wa vazi
Mmiliki wa ujijirahaa blog  nikiwa lango kuu la Hospotali ya Rufaa ya Mkoa Kitete,  Tabora
Mmilikiwa ujijirahaa blog nikiwa getini ambapo niweweka kambi kwa malazi katika chumba chenye jina la Kenya

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages