Breaking News

Your Ad Spot

Aug 12, 2015

MATUKIIO NA PICHA MITAA MBALIMBALI

 Umati wa watu uliojaa mtaani wakishuhudia binti mwenye matatizo ya akili Sinina Maliki akipigwa   na bint wa mitaa hiyo ya Katandala eneo la Kibirizi Asha Kigwiza , Mkoani kigoma.
  Sinina Maliki akiwa ameshikiliwa na wasamalia wema baada ya kuchezea kipigo na walio mshika binti huyo nawao walichezea kipigo toka kwa binti wa mitaa hiyo Asha Kigwiza
 Wananchi wa Kijiji cha Usindi Wilaya ya Kaliua wakilitazama tela la Gari lenye kichwa chenye namba za usajili T282 ALM la kampuni ya vinywaji aina ya kokakola



Kijana Eflahim Maksoni alitembea juu ya Reli akiwa amepanda baiskeli maeneo ya Nguruka Mkoani Kigona
 Baadhi ya Abiria wakiteremka toka ndani ya Basi la Saratola likitokea Nguruka Kigoma na kushushia kwenye Kituo kipya cha mabasi kilichopo Masanga Gungu mkoani kigoma
kijana mwendesha baiskeli akiwa amewapakia watoto wawili wakiwa katika staili maeneo ya Nguruka Relini wakielekea majumbani ambapo majina ya haya kupatikana mara moja
 Wafanya biashara wa chunvi wakiwauzia abiria waliokuwa wakisafiri kwa basi lililokuwa likitoka Nguruka kwenda Kigoma mjini

 Mwenyekiti wa Mtaa Sido na Mgombea Udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Murubona akiwa na wafuasi wake juzi  waliomsindikiza Ofisi ya chama Wilaya iliyopo kata ya Kusenga wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma wakitoka kupeleka malalamiko baada ya kumshinda mwenzake katika kura za maoni ambapo yeye alipata kura 183 na mpinzani wake kura 139 katika kinyanganyirocha  kura za maoni na hatimaye ushindi kupewa mwenzake
 Wakichota maji eneo la Kaliua katika kituo cha mabasi
Wananchi wakikata  tiketi katika kituo kipya cha Stendi ya mabasi ya Mikoani kilichopo Masanga Gungu mkoani kigoma, ambapokuingia huingia na kutoka huwalazimu kutowa sh. 200. IMETAYARISHWA NA KHAMIS MUSSA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages