Breaking News

Your Ad Spot

Aug 6, 2015

MAMA ATELEKEZWA NA WATOTO 12 KIJIJI CHA NGURUKA MKOA WA KIGOMA

 Penina Ally mkazi wa kijiji cha Lugongoni (A) Kataa ya Nguruka Wilaya ya Uvinza Mkoa wa Kigoma  akizungumza na msaidizi wa Kisheria ambaye ni mwalimu mstaafu, Ramadhani Salumu, kwa kutelekezwa na mzazi mwenzake ambaye wamebahatika kupata  watoto kumi na mbili,wakike 8 na wakiume 4 .(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Ni nyumba ya mama huyo aliyetelekezwa.
 Asimuli mkasa mzima kwa msaidizi wa kisheria huyo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages