Breaking News

Your Ad Spot

Aug 5, 2015

KURA ZA MAONI ISSONGWA WANACHAMA KURUDISHA KADI

 Mwenyekiti wa kitongoji cha Issongwa kati kilichopo Wilaya ya Urambo, Agostino Ntibagwe akionyesha kadi zilizo rudishwa na wanacha wa Chama cha Mapinduzi baada ya kukerwa na kura za maoni, ambapo wananchi walikuwa wanamtaka mgombea na akapitishwa mgombea asiyetakiwa na wananchi.(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) 



 Bi Amina Kanjunani (wapili kulia)  mkazi wa kijiji cha Issongwa wilaya ya Urambo Tarafa ya Usoke kataa ya Ugala akisimulia  kuhusu Viparata, wengi hawakujiandikisha  katika  Daftari la mpigakura
 Mwenyekiti wa Wazazi na Mjumbe wa Serikali ya Kijiji cha Issongwa Thabiti Husseni akionyesha kadi zilizorudishwa na wanacha wa  Chama cha Mapinduzi (CCM). Baada ya mgombea nafasi ya Udiwani waliokuwa wakimtaka  kupitia chama hicho kuanguka katika kura za maoni


No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages