Breaking News

Your Ad Spot

Aug 14, 2015

HONGERA ABBAS MTEMVU

 Hongera MH. Abbas Mtemvu kwa kuthibitishwa  kwa kishindo kikuu na wajumbe wa Halmashauri Kuu Taifa kuwa mgombe Ubunge Jimbo la Temeke, wana Temeke hongereni sana kwa kuchaguliwa kiongozi makini, sasa kazi ni moja tu iliyo baki (1) Mtemvu Temeke (2) Magufuli Rais (3) Madiwani katani,Mtemvu Woyeeeeee.    
Abbas Mtemvu  Akionyesha  Cheti alichopewa na wanacha kwa ushirikiano na kuwa pamoja na wananchi kabla hajamaliza muhula huu. (PICHA ZOTE  KWA HISANI YA UJIJIRAHAA BLOG).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages