Breaking News

Your Ad Spot

Aug 23, 2015

BREAKING NEWS: MTOTO WA MIAKA 9 AOZESHWA NA BABA YAKE KWA MWANAUME MWENYE MIAKA 60

  Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9)
  Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akiwa amepozi
  Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9)  akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo, Ruthi Mashambo (kulia)

Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo, Ruthi Mashambo (kulia), jinsi alivyoozeshwa kwa mwanaume mwenye miaka 60 (jina limehifadhiwa) kwa mahari ya Ng'ombe Mmoja na debe 2 za pombe kushoto ni Mwenyekiti wa Wasaidizi wa Kisheria Wilaya ya Monduli Mtandao wa Wasaidizi wa Kisheria Monduli (MWAWAKIMO) Ibrahim Melita Laizer (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages