Breaking News

Your Ad Spot

Aug 2, 2015

AZAM FC BINGWA KAGAME CUP 2015

 Wachezaji wa Azam FC wakishangilia wakiwa na Kombe lao baada ya kukabidhiwa katika mchezo wa fainali baada ya kuifunga Gor Mahia ya Kenya 2-0.
Kombe la Kagame walilotwaa Azam FC.
(Picha zote na Francis Dande)
 Nahodha wa Azam John Bocco akipokea kitita cha dola za kimarekani dola elfu 30.
Viongozi wa Azam pamoja na wachezaji wakiwa katika picha ya pamoja.
Kocha Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall akiwa amebebwa na wachezaji wa timu hiyo baada ya kumalizika kwa mchezo wa fainali ya Kombe la Kagame dhidi ya For Mahia ya Kenya uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini
Dar es Salaam. Azam ilishinda 2-0. 
Kocha Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall akiwa amebebwa na wachezaji wa timu hiyo baada ya kumalizika kwa mchezo wa fainali ya Kombe la Kagame dhidi  ya For Mahia ya Kenya uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini
Dar es Salaam. Azam imeshinda 2-0.
 Shomari Kapombe wa Azam FC akichuana na mchezaji wa timu ya Gor Mahia ya Kenya, Aucho Khalid.
Furaha ya ushindi.
Kocha wa Azam, Stewart Hall (kulia) akipeana mkono na mwenzake wa Gor Mahia.
 Wachezaji wa Azam FC wakishangilia baada ya kumalizika kwa mchezo wa fainali.
Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akishangilia goli la pili aliloifungia timu yake.
Mashabiki wa Azam FC.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages