Breaking News

Your Ad Spot

Jul 7, 2015

SABASABA WINDHOEK LUNCH ILIVYOJUMUISHA WADAU WA VIP WAKITAIFA NA KIMATAIFA KATIKA UKUMBI WA DANKEN HOUSE MIKOCHENI JIJINI DAR ES SALAAM

Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Limited James Rugemalira akitangaza nia na kuwakaribisha wageni mbalimbali katika hafla hiyo.
 Bwana Rugemalira (kulia) akimweleza jambo Daktari Bingwa wa magonjwa ya Kansa kutoka nchini India Prof. Antony Pais walipokutana katika hafla hiyo.
 Bwana Rugemalira (Kulia) akiteta jambo na Mwenyekiti wa Ukanda Maalumu wa Kiuchumi Tanga, Chris Incheul Chae ambaye pia hakukosa kuhudhuria hafla hiyo.
 Bwana Rugemalira (kulia ) akisalimiana na Mwanyekiti wa Kamati ya Mahusiano na Umma wa Kampuni ya Mabibo Beer wines and Spirits Limited, Anic Kashasha.
 Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Limited,  Secelela Balisidya naye alikuwepo kuhakikisha mambo yanaenda sawa.    
 Meneja Mkuu wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Limited, Alice Marco (Kulia) naye alikuwepo kuhakikisha kila mgeni anapata vinywaji vya Windhoek vya kutosha. Hakuwa na mzaha katika swala hilo.
 Mdau Faustine Kapama (kushoto) na mawakili Pachal Kamala na Sosten Mbedule walikuwepo kufurahia kinywaji murua cha Windhoek.
 Ni wageni wengi walikuwepo kuhudhuria hafla hiyo.
 Unaona mambo yanavyochangamsha? ni Windhoek tu kwa kwenda mbele.
 Huwezi kuamini ilikuwa furaha kila kona.
 Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Limited, Benedicta Rugemalira (kushoto) na mwanasheria wa kampuni hiyo, Respicius Didace (kulia) wakiwa na wageni mbalimbali kutoka nje ya nchi walipohudhuria hafla hiyo.
Dr Dee (Kulia) akiwa na madaktari wengine katika halfla hiyo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages