Breaking News

Your Ad Spot

Jul 6, 2015

MKUU WA WILAYA ANTHONY MAVUNDE AIASA JAMII KUACHA UKATILI DHIDI YA WATOTO

Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Anthony Mavunde akizungumza wakati wa tamasha la kupinga na kukataa vitendo vya kikatili dhidi ya watoto, lililofanyika katika viwanja vya mnara wa Mashujaa Mpwapwa.
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Anthony Mavunde (kushoto), akizungumza jambo na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Jacob Erasto Chimeledya wakati wa maadhimisho hayo ya kupinga na kukataa vitendo vya ukatili kwa watoto.
 Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Anthony Mavunde akizungumza
 Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Jacob Erasto  Chimeledya akizungumza katika hadhara hiyo.
 Burudani mbalimbali zilitolewa na vikundi kwa kwaya.
 Meza kuu ikifuatilia burudani hizo.
Watoto nao walitoa burudani.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages