Breaking News

Your Ad Spot

Jul 21, 2015

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MBAGALA ARUDISHA FOMU KATIKA OFISI ZA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA TEMEKE

 Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Peter  Nyalali akizungumza na waandishi wa habari baada ya kurudisha fomu
Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Temeke kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Peter Nyalali (kushoto), akirudisha  Fomu katika Ofisi za Chama hicho kwa Katibu wa Umoja wa Vijana Wilaya ya Temeke Yona Sengerema (kulia).
Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Temeke kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Peter Nyalali (katikati) , akirudisha  Fomu katika Ofisi za Chama hicho kwa Katibu wa Umoja wa Vijana Wilaya ya Temeke Yona Sengerema kushoto na kulia ni Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Temeke Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA  NA KHAMISI MUSSA)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages