Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mwinchum Msomi, akimkabidhi Pesa Katibu Umoja wa Vijana Wilaya ya Temeke Yona Sengerema , kwaajili ya malipo ya uchukuaji wa fomu.
Mgombea
nafasi ya Ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)
Mwinchum Msomi, akisaini fomu mbalimbali mbele ya Katibu Umoja wa
Vijana Wilaya ya Temeke Yona Sengerema.
Katibu
wa Umoja wa Vijana wilaya ya temeke akimkabidhi Fomu Mgombea nafasi ya
Ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha Mapinduzi
(CCM) Mwinchum Msomi alipofika ofisini hapo Dar es Salaam jana kuchukua
fomu hizo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269