Breaking News

Your Ad Spot

Jul 9, 2015

RAIS KIKWETE ANENA MAZITO MJINI DODOMA KATIKA KIKAO CHA MAADILI CHA HATUA ZA AWALI ZA KUCHUJA WAGOMBEA URAIS

Siasa zinapewa nafasi kubwa sana sasa hivi, Tanzania inaingia kwenye Uchaguzi Mkuu Mwezi October 2015… Tayari wapo waliotangaza kugombea nafasi mbalimbali lakini macho ya wengi yako kwenye nafasi ya Urais, mpaka sasa kuna majina zaidi ya 35 ya watu waliotangaza kugombea nafasi ya Urais kupitia CCM. Rais Kikwete alisema hayo akiongoza kikao cha Kamati ya Usalama na Maadili cha CCM mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages