Breaking News

Your Ad Spot

May 22, 2015

SKYLIGHT BAND YAREJESHA RATIBA YAKE YA BURUDANI KILA IJUMAA, SASA NI KIOTA KIPYA CHA “LUKAS PUB” MASAKI LEO

 Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower akiimba kwa hisia huku akisindikizwa na mwimbaji mwenzake Ashura Kitenge 
 Sony Masamba(kushoto) akiendelea kutoa burudani huku akisindikizwa na wanamziki wenzake ambao ni Aneth Kushaba(katikati) pamoja na Sam Mapenzi(Kulia)
 Ilikuwa noma sana jumamosi hii maana ilikuwa ni kubeneka mpaka kunakucha
 Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower huku akisindikizwa na Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47(katikati) pamoja na Ashura Kitenge 
 Waimbaji wa bendi ya Skylight Band wakiendelea kusebeneka  ndani ya Mzalendo Pub
 Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower akishusha mistari na kucheza huku waimbaji wenzake Aneth Kushaba (wa pili kutoka kushoto), Sony Masamba(wa pili kutoka kulia) pamoja na Ashura Kitenge  wakisebeneka jumamosi iliyopita ndani ya Mzalendo Pub jijini Dar.
 Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba akiendelea kuimba huku wapenzi wa bendi hiyo wakiendelea kukata mauno yaani ilikuwa noma sana.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages