Breaking News

Your Ad Spot

Oct 30, 2014

MEYA WA JIJI LA DAR DIDAS MASABULI AZINDUA MTAA MPYA JIJINI

Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania ,Egon Kochake akizungumza wakati wa hafla ya kubadisha jina kwa mtaa wa Garden na sasa utakuwa ukijulikana kama mtaa wa Harmbug jina la mji wa Ujerumani ikiwa ni fadhila baada ya wajerumani kuupa jina la Dar es Salaam moja ya mitaa ya jiji la Harmbug uko Ujerumani

Meya wa jiji la Dar es Salaam Didas Masabuli na Meya wa Mji wa Harmbug wakizindua jina la mtaa huo

Meya wa jiji la Dar es Salaam Didas Masabuli na Meya wa Mji wa Harmbug na Balozi wa heshima wa Tanzania mjini Harmbug Bi Petra Harmelmann wakitembea ikiwa ni ishara ya uzinduzi huo

Mambo ya burdani nayo hayakuwa nyuma

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages