Breaking News

Your Ad Spot

Jul 22, 2014

WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS ,KAZI MAALUM ,PROFESA MARK MWANDYOSA AFANYA ZIARA YA KIKAZI MAKAO MAKUU YA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) JIJIJI DAR ES SALAAM

 
 Kaimu Mkurugenzi Mkuu , Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA)  Dk.  james Diu( Kulia ) akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum, Prof. Mark Mwandosya wakati alipotembelea  makao makuu ya Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya kujionea shughuli zinazofanywa na TCAA.
 Waziri  wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum , Prof Mark Mwandosya akikabidhiwa Nyaraka ya Sheria  ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga TCAA  na  Kaimu Mkurugenzi Mkuu  wa Mamlaka hiyo  Dk. James Diu , wakati alipofanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya ofisi hiyo jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujifunza na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa hapo.
 Kaimu Mkurugenzi Mkuu , Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA)  Dk.  james Diu( Kushoto)akiagana na   Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Prof. Mark Mwandosya mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi  makao makuu ya Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya kujionea shughuli mbambali zinazofanywa na TCAA. Kulia anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Huduma za Mamlaka ya TCAA, Rubeni Ruhongore.
  Waziri  wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum , Prof Mark Mwandosya, akisisitiza jambo kuhusiana na huduma zinazotolewa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) wakati alipokutana na Uongozi wa  Mamlaka hiyo  jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu , Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA)  Dk.  james Diu.
 Waziri wa  Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum, Prof. Mark Mwandosya (kulia),  akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Huduma za Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)Rubeni Ruhongore wakati alipokuwa akimuelezea shughuli zinazofanywa na TCAA  wakati Waziri huyo alitembelea Makao Mkuu ya Mamlaka hiyo kwa ajili ya ziara ya  kujionea shughuli zinazofanywa na Mamlaka hiyo.
 Waziri wa  Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum, Prof. Mark Mwandosya  akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)  na Mamlaka zingine za Udhibiti Nchini wakati alipotembelea Makao Makuu ya TCAA, Dar es Salaam.
 Waziri wa  Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum, Prof. Mark Mwandosya  akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)  na Mamlaka zingine za Udhibiti Nchini wakati alipotembelea Makao Makuu ya TCAA, Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages