Breaking News

Your Ad Spot

Apr 17, 2014

SERIKALI YAINGIA MKATABA NA KAMPUNI ZILIZOSHINDA ZABUNI YA KUJENGA MTANDAO WA MAWASILIANO

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George Yambesi (kulia) na Afisa Masoko na Mauzo TTCL Bw. Peter Ngota (kushoto) wakitia saini mkataba wa makubaliano ya kuweka mtandao mmoja wa mawasiliano Serikalini hivi karibuni jijini Dar es salaam
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George Yambesi (kulia) akibadilishana Mkataba waliosaini  Mkurugenzi wa Kampuni ya Softnet Gilbert Herman (kushoto)hivi karibuni jijini Dar es salaam
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George Yambesi akiongea na washiriki (hawapo pichani) waliohudhria hafla ya kusaini mikataba ya kuweka Mtandao wa Mawasiliano wa Serikali hivi karibuni jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages