Breaking News

Your Ad Spot

Apr 22, 2014

PINDA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA KALAMBO

 Waziri Mkuu na Mkewe Tunu (kulia) wakitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Moshi Chang'a, nyumbani kwa marehemu Mbagala Kibonde Maji, Dar es Salaam, Aprili 22, 2014. Kushoto ni mkewe Tunu.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitoa pole kwa waombolezaji kabla ya kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Moshi Chang'a, nyumbani kwa Marehemu Mbagala Kibonde Maji jijini Dar es salaam Aprili 22, 2014. Kushoto ni mkewe Tunu. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages