Breaking News

Your Ad Spot

Apr 22, 2014

CCM MEATU YAKOMBA VIONGOZI WA CHADEMA

  • Mwenezi wa Wilaya hiyo wa Chadema aongoza Wenyeviti wawili wa kata na viongozi wengine kadhaa kujisalimisha CCM Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chadema wilaya ya Meatu,  Kimwaga Jackson Ndibo akirudisha vifaa mbalimbali vya Chadema zikiwemo kadi, bendera na katiba kwa viongozi wa CCM baada ya kutangaza kujisalimisha na kuhamia CCM kwa hiari yake katika mkutano wa hadhara uliofanyika wilayani humo jana.Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM  mkoa wa Simiyu na Mjumbe wa NEC wa Itilima, Njalu Silanga akikabdihi kadi ya CCM kwa  moja ya viongozi wa Chadema Meatu waliorudi CCM. Mwenyekiti wa UVCCM  mkoa wa Simiyu na Mjumbe wa NEC wa Itilima, Njalu Silanga akihutubia wakazi wa wilaya ya MeatuMwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Simiyu na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa wilaya ya Itilima Njalu Silanga (wa katikati) akiwa pamoja na viongozi wa Chama wilaya ya Meatu.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages