Breaking News

Your Ad Spot

Nov 7, 2013

HOTUBA YA RAIS JAKAYA KIKWETE, ALIYOITOA BUNGENI LEOI, NOVEMBA 7, 2013, DODOMA

RAIS JAKAYA KIKWETE
Rais Jakaya Kikwete, jioni hii amelihutubia Bunge, mjini Dodoma. Katika hotuba hiyo iliyochukua zaidi ya saa moja, Rais amezungumzia maswala mbalimbali, lakini kubwa zaidi likiwa ni hali ya sasa ya Jumuia ya Afrika Mashariki na mustakabali wa Tanzania katika Jumuia hiyo. 

Wakati wa hotuba hiyo walikuwepo pia Makamu wa Rais Dk. Mohamed Garib Bilal na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein. Kuisoma hotuba yote, Tafadhali>BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages