Breaking News

Your Ad Spot

Dec 8, 2012

MASAHIHISHO YA NAMBA YA SIMU KWENYE HABARI YA ‘SIKU 14 ZA KUIONA TANZANIA, MTANZANIA TEMBELEA TANZANIA’

Wadau, namba ya simu iliyokuwa imetolewa kwenye habari ya ‘SIKU 14 ZA KUIONA TANZANIA, MTANZANIA TEMBELEA TANZANIA’ wahusika  'walibugi-men'
na wanasema hivi;- "Naomba radhi sana kwa usumbufu uliojitokeza, wadau wengi wamelalamika kuwa namba tuliyotoa kwenye habari hii haipatikani, namba hiyo ilikosewa lakini namba sahihi ni hii +255784885901
Kwa mawasiliano na Lakeland Africa
+255222-761811
+255784885901
Email: reservations@lakelandafrica.com
‘Kuwa mtalii ndani ya nchi yako’" .

Mtayarishaji Mkuu, 
Daily Nkoromo Blog

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages