FREEMAN MBOWE NA AUGUSTINE MREMA WAPATA UBUNGE TENA Bashir Nkoromo 11/01/2010 2 Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangazwa kuwa mbunge mteule jimbo la Hai, huku Mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema naye akirejea tena ... Read more »
DR.SHEIN ATANGAZWA KUWA RAIS MTEULE WA ZANZIBAR, USIKU HUU. Bashir Nkoromo 11/01/2010 2 Chachandu Daily ambayo imeshuhudia 'live' tukio hili la kihistoria, inakupa habari katika picha na habari kamili mwisho wa picha hi... Read more »
BAADA YA WAFUSI WA CUF KUSHINDA KUTWA NZIMA ZEC KUSHINIKIZA MAALIM SEIF ATANGAZWE MSHINDI, TANGU SAA MBILI ASUBUHI, HATIMAYE WAMEONDOKA ENEO HILO SAA 1;30 BAADA YA SEIFU MWENYEWE KUFIKA. Bashir Nkoromo 11/01/2010 0 Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Seif Shariff Hamad akiwatangazia wafuasi wake waondoke eneo la Bwani Hoteli yalikokuwa yakitang... Read more »
MATOKEO YA AWALI VITI VYA UBUNGE Bashir Nkoromo 11/01/2010 0 CCM viti-18 CUF viti-7 CHADEMA kiti-1 VINGINE viti-0 Matokeo hayo ni kwa mujibu wa -TBC 1, matokeo ya majimbo 26 kati ya 239 yaliy... Read more »
HADI SASA CUF WAMEENDELEA KUTANDA LANGO LA BWAWANI HOTEL, LAKINI KWA STAILI YA KUWAFANYA CHAMBO WANAWAKE Bashir Nkoromo 11/01/2010 2 WANAWAKE wakiwa wametangulizwa kuziba lango kuu la Hoteli ya Bwawani, ili kuwa kikwazo kwa Polisi wa kutuliza ghasia kuwaondoa wafuasi wa ... Read more »
WAKATI MATOKEO YAKIENDELEA KUWASILI: CUF WAVAMIA OFISI ZA ZEC ASUBUHI HII KUTAKA SEIF SHARIFF HAMAD ATANGAZWE MSHINDI ZANZIBAR Bashir Nkoromo 11/01/2010 0 Wafuasi wa CUF wakiwa kwenye Ofisi za Tume ya Uchaguzi zanzibar (ZEC) kushinikiza mgombea wa chama hicho Maalim Seif Shariff Hamad atangazw... Read more »
WADAU WA CUF WANAODAIWA KUWA WALITOKA PEMBA KUJA UNGUJA KUTOA TAFU KATIKA MKUTANO WA KUFUNGA KAMPENI ZA CUF WADAIWA KUKWAMA KUREJEA KWAO HADI LEO AMBAYO NI SIKU YA KUPIGA KURA Bashir Nkoromo 11/01/2010 0 NA MDAU WA HABARI, ZANZIBAR WADAU zaidi ya 100 wa CUF waliotokana Pemba kuja Zanzibar kwa ajili ya mkutano wa kufunga kampeni za chama hic... Read more »